Mkuu wa wilaya ya Singida
Mwalimu Queen Mlozi akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wa kilele cha
upandaji miti ki-wilaya uliofanyika kwenye kijiji cha Ilongero.
Mkuu wa wilaya ya Singida Mwalimu Queen Mlozi akishiriki kutoa burudani na kikundi cha uhamsishaji cha kijiji cha Ilongero wakati wa upandaji miti ki-wilaya uliofanyika katika kijiji cha Ilongero.
Mzee Athumani Sungi (71) akifurahia kitendo cha mjukuu wake kumsaidia kupanda mti katika chanzo cha maji kijiji cha Ilongero jimbo la Singida kaskazini.

No comments:
Post a Comment