Makamu Mwenyekiti wa CCM
(Bara) Philip Mangula (kushoto) akiwasikiliza Wazee waasisi wa CCM
kutoka mkoani Singida, Kutoka kushoto, Sumbu Galawa, Alhaji Mahami
Rajabu Kundya na Mujengi Gwao Makamu, walipomfikishia ujumbe wao
maalum, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es
Salaam
Mzee Sumbu Galawa akimkabidhi ujumbe maalum, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Pilip Mangula, wakati yeye Wazee wenzake wa CCM kutoka mkoani Singida, Alhaji Rajabu Kundya (wapili kulia) na Mujengi Gwao (watatu kulia) walipofika Ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam,kuwasilisha ujumbe huo.
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Phili Mangula akimshukuru Mzee Sumbu Galawa, baada ya kupokea ujumbe uliowasilishwa kwake na Wazee wa CCM kutoka mkoani Singida, Ofisi leo Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam.
Mangula akizungumza na Wazee wa CCM kutoka mkoa wa Singida, waliofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM,Lumumba Dar es Salaam, kumpa ujumbe maalum wa kuimarisha chama. Kushoto ni Mzee Sumbu Galawa na kulia ni Alhaj Mahami Rajabu Kundya na Mujengi Gwao.

No comments:
Post a Comment