Wednesday, November 28, 2012

HIVI NDIVYO HALI ILIVYOKUA MAKABURINI,KUMZIKA SHARO MILLIONEA

                             Hii ndo nyumba ya milele ya Sharo Millionea


 Mwili wa Marehemu Sharo Milionea ukiswaliwa mapema mchana huu kabla ya kupelekwa kwenye nyumba yake ya milele.



 Rafiki mkubwa wa marehemu Sharo Milionea,Mzee Majuto akiwa ameshikwa mkonona Msanii wa filamu
JB wakielekea kwenye mazishi mapema mchana huu,Muheza mkoani Tanga.
Mzee Majuto na Sharo Millionea walikua ni marafiki wa karibu sana na walikua wakifanya kazi nyingi pamoja,pia mtaani walikua wakijulikana kama baba na mwana.

2 comments:

  1. neva knw he was frm singida rest in peace sharo

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 08, 2013

    When Ι orіginally сommеnted I clicκed
    the "Notify me when new comments are added" checkbox and noω each
    timе a comment іs аddеd I get thrеe emails
    ωith thе samе commеnt. Is there any way yοu сan rеmove peoрle from that service?
    Thank you!

    Alѕο visit my webѕitе .

    .. Boston Limo

    ReplyDelete