Friday, November 30, 2012

BAADHI YA WASANII MBALIMBALI WALIOJITOKEZA KWENYE MSIBA WA SHARO MILLIONEA .....................

                                      Ndende akipembelezwa na wasanii wenzake
                                                          Wastara na msanii mwenzake
                                            Ray akiwa na msanii mwenzake


 Sintah na wasanii wengine wa bongo movie,Hapa palikua sehemu maalum kwa ajili ya wasanii
 Kutoka kushoto ni Sajuki,Mlela na huyu mama wa kaole(jina kasaulika,samahani lakini)
                                                                            Shetta
 Bonge wa mgahawa wa facebook kinondoni ambapo Sharo Millionea mara nyingi alikua anakula hapo jioni
                                         Dikii akifanya mahojiano na Millard Ayo
                                              Muhogo mchungu akipita na kushangiliwa
 Jackson Mbando kutoka Airtel ambapo aliniambia Sharo Milionea amefariki miezi nane tu baada ya kupata dili la kuwa balozi wa Airtel.
 Msanii Tunda Man kutoka Tiptop Connection pembeni yake ni Tembele.
                                   HK aliyekua Meneja wa Sharo Millionea
                                                                          Jackline Wolper
Mwigizaji JB nae alipata tabu baada ya watu kumshangilia na kutaka

PICHA ZA MATUKIO MUHIMU KWENYE MSIBA WA SHARO MILLIONEA...

                                           Hapa ndipo alipozikwa Sharo Millionea




                                   Magari ya viongozi wa Nchi na Vyama vya siasa

 Gari la huduma ya kwanza lilikuepo ambapo zaidi ya watu 50 walianguka   na kuzimia.



                                       Hii ndio nyumba ya kina Sharo Milionea.




MATUKIO ZAIDI MAZISHI YA SHARO MILLIONEA:MAMIA WAPOTEZA FAHAMU BAADA YA MWILI WA MAREHEMU KUWASILI.

                                                      Hili ni gari lililoleta Mwili wa Marehemu nyumbani
                                                   Mwili wa Marehemu ukiingizwa ndani.


 Mweshimiwa  Nape Nauye nae hakua nyuma.






Baadhi ya watu walio poteza fahamu kwenye msiba wa Sharo Millionea wakipewa huduma ya kwanza.Inaelezwa kuwa

Wednesday, November 28, 2012

TUNAOMBA RADHI KWA PICHA HIZI ZA SHARO MILLIONEA KAMA ZITAMKWANZA MTU YEYOTE.HIVI NDIVYO ILIVYOKUA MAHALI ALIPOPATA AJALI.










Picha ya 1 hadi ya 5, Ni gari aina ya Toyota Harrier lenye namba za usajili T 478 BVR alilokuwa akiendesha msanii wa filamu na muziki Hussein Ramadhani Mkieti ‘Sharo Millionea’ kutoka jijini Dar es salaam kuelekea Kijijini kwao Lusanga Wilaya ya Muheza  mkoa wa Tanga. Sharo Millionea